Natumai wewe kama mfugaji ulisha kutana na ugonjwa huu gomboro kuku kushusha mabawa na kukonda ya pili kideri kuku hushusha mabawa na kukonda zingatia chanjo hizi wakati wakiwa vifaranga hutaona tena ugonjwa kwako chanjo kwanza 1)newcastle baada ya siku 7(2)siku ya 14 gomboro(3)siku ya 21 Newcastle(4) siku ya 28Gomboro hutoona kuku wako wanakufa ovyo tena ukizingatia hizi chanjo mjasiriamali
Tahadhali kwa wafugaji wa kuku, TFDA wamegundua chanjo fake zikizalishwa na kiwanda cha chanjo Kibaha. Soma Guardian ya leo IPP website
Mama Joe tuwekee majina ya hizo dawa feki . Haya mambo yanaturudisha sana nyuma sisi wakulima na Tanzania kwa ujumla . Wahusika wa chukuliwe hatua kali.