Msaada wa chanjo za safari

afebris

Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
96
Reaction score
105
Wakuu, ni wapi kwa hapa Dar wanachoma chanjo kwa ajili ya safari na bei yake ikoje?

Natanguliza shukrani.
 
Nenda mnazi mmoja pale anatogluoe hospital ya mnazi mmoja wanaotoa chanzo hizo ukifika pale uliza mapokezi
wakuu,ni wapi kwa hapa dar wanachoma chanjo kwa ajili ya safari na bei yake ikoje?
Natanguliza shukrani..
 
mmmh Chanjo za safari?!! Nimetoka kapya!
 
mmmh Chanjo za safari?!! Nimetoka kapya!

mkuu,kuna nchi ukienda lazima uwe na kitabu kidogo cha njano,hicho kinaoneshwa kama umechanja mfano singapore,saudi arabia...hata kenya..
 
Mnazi mmoja wanatoa chanjo ya yellow fever. Nenda tu pale utapata huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…