Nabii hatambuliki kwao!! Utendaji wa nacte na mfumo wa utoaji elimu nchini ni wa kizamani sana. The London School of Journalism-LSJ inatoa degree na diploma zinazotambuliwa kote duniani iwe kwa distance learning au mifumo mingine. Inashangaza kuona nacte wanasusua ku-accredit cheti changu cha diploma ingawa wamekiri LSJ ni moja ya vyuo vya nje vinavyotambuliwa na Serikali! Naomba ushauri kwa sasa ni mwaka tangu nianze kufuatilia