Walikuwa wanajipanga sana hapo lastanza pub Sasa baada ya kuvunjwa sijui wamehamia wapi. Kuna boda boda ukifika hapo ilipokuwa lastanza pub waulize watakuelekeza maana watakuwa wanajua.
Ukiona jau we shuka tu Juliana pale ni uhakika ila uende mida ya saa nane tisa usiku ndio unaweza kupata cheap labour [emoji23][emoji23]