Royal College Of Tanzania vs Dar City College vs Time School Of Journalism.
Naomba kufahamishwa chuo kipi kati ya hivo juu ni bora zaidi.
Ahsante sana.
royal college naona vijana wengi wanakimbilia hapo ila sivijui.kwa ufupi mtoa maada kwanini usiende chuo kinachoeleweka vizuri,maana uko naona vijaana wengi waliopata level ya chini kabisa wengi wanakimbilia huko .sina maana ni kibaya hapana.Royal College Of Tanzania vs Dar City College vs Time School Of Journalism.
Naomba kufahamishwa chuo kipi kati ya hivo juu ni bora zaidi.
Ahsante sana.
Hvyo navyo ni vyuo?
Hivyo sio vyuo ni ..........
Malizia
royal college naona vijana wengi wanakimbilia hapo ila sivijui.kwa ufupi mtoa maada kwanini usiende chuo kinachoeleweka vizuri,maana uko naona vijaana wengi waliopata level ya chini kabisa wengi wanakimbilia huko .sina maana ni kibaya hapana.