Msaada wa Chuo cha Afya

Msaada wa Chuo cha Afya

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,602
Reaction score
864
Habari za asubuhi wadau. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne 2013, matokeo yake amepata div IV ya 33, ana C ya Biology, D ya Physcics na E ya Chemistry na D ya Maths. Sasa naomba msaada kama kwa matokeo hayo anaweza kupata chuo asome certificate in Nursing, na msaada wa vyuo vizuri vinavyotoa kozi hiyo. Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom