Msaada wa chuo

baba brightness

New Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
2
Reaction score
0
naomba msaada kwa anaejua chuo binafsi cha afya kinachotoa kozi za nursing au clinical officer.
 
naomba msaada kwa anaejua chuo binafsi cha afya kinachotoa kozi za nursing au clinical officer.

Kama upo Dar hebu Nenda Pale IMTU Kipo Maeneo Ya Mbezi Beach Makonde Ninahisi Hicho Unachotaka Kusoma Wanacho Kwani ni Chuo Kizuri tu Kwa Fani Zenu hizo za Huduma Za Afya AU Jaribu Pia Kwenda Pale Hospitali Ya Jeshi Lugalo ambapo Kuna Chuo Pia cha Mambo hayo hayo Unayoyataka. Kila la Kheri na Nakutakia Mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…