kwanini kukadiria?Sidhani ipo,mara nyingi wanakadiria tu
Hawakadirii tu kwa mfano huo wa engine uliousema ni kwamba engine inakuja kama spare parts hivyo importy duty inaweza kuwa 10% ya pesa uliyonunulia pamoja vat 18%Thanks, sijui huwa wanakadiria tu au kuna muongozo Fulani mfano nikiingiza engine, au generator nk
kwanini kukadiria?
inapunguza usumbufu wa kupekua orodha ya bidhaa kila saakwanini kukadiria?
inapunguza usumbufu wa kupekua orodha ya bidhaa kila saa
kwa nini Wasizi-fix kama KRA wafanyavyoinapunguza usumbufu wa kupekua orodha ya bidhaa kila saa