Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina uzoefu na hii BIASHARA takribani miaka 7 mkuu lkn Uganda skuwahi kwenda mara nyingi Huwa naishia kuchukua mzigo darNdugu mjasiriamal naomba nkuulze machache..
1. Unauzoefu na izo accesories
2.ushawah kwenda ata apo uganda kufunga mzgo kabla ya kwenda dubai?
Ukinjbu haya ntakupa screan shot ya kukushaur nn ufanye nn uache
Mkuu mimi niko Dubai kabla sijakushauri bado najiuliza hizo accesories unahitaji mzigo wa ukubwa gani ambayo itakupa faida ya kufidia gharama zako.Habarini wakuu
Nahitaji kwenda Dubai kununua accessories za simu hivyo ninaomba Kwa mtu mwenye uzoefu aweze kunipa mwongozo na connection kufanikisha Hilo
Natanguliza shukurani:-