Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo
Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote ili niweze kuisadia familia yangu nikiwa na maana ya mke na watoto pamoja na mzazi wangu ambae ni mjane.
Elimu yangu ni form 6 ila pia najua kutumia computer.
Hata kama ni kibarua cha kulipwa kwa siku nipo tayari na sichagui kazi ilimradi tu ni kazi halali.
Mimi ni raia mwaminifu na sijawahi kushtakiwa kwa kosa la aina yoyote katika kipindi chote cha maisha yangu kuanzia utoto mpaka hapa nilipofikia.
Hata kama kuna mtu anaweza nipa connection ya nje ya nchi pia nipo tayari ilimradi tu niweze kuisaidia familia yangu mahitaji madogo madogo.
Kwa mtu yeyote ambae yupo tayari kunisaidia anaweza kuja inbox ili nimpe mawasiliano yangu.
Natanguliza shukrani kwa yeyote atakaeweza kunisaidia.
Mimi naishi Dar Es Salaam
Ahsanteni