Msaada wa contact za madali wa soko la kariakoo

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
Naomba msaada wa contact za madalali wa mboga na matunda wa soko la kariakoo
 
mkuu subili baada ya mda kidogo ntakuwekea hapa.lakini nataka kujua;
1.je una mzigo wa kuuza?
2.unataka contact za kazi gani?
ni hayo tu.mia
 
kumbe mtu mwenyewe longolongo.bona hueleweki?matunda ya aina gani? kuna machungwa,nanasi, embe..nk
Kwa msaada tu chukua hii namba 0715100048.hii ni namba wa dalali wa maembe yanayotoka Tabora.Anaitwa robert. mia
 
Mkuu Mchumia tombo,

Madalali ni watu hatari sana hasa kama bidhaa unayopeleka sokoni ni perishable [rahisi kuharibika/oza].Nakushauri kabla hujapeleka bidhaa sokoni tafadhali fanya utafiti wa kutosha kuhusu aina ya bidhaa zako ziwe katika hali gani kama ni machungwa hakikisha unapeleka sokoni chungwa zinazoanza kutia rangi ya njano kwa mbali sehemu kubwa liwe kijani.Usikubali dalali mmoja amiliki bidhaa yako hakikisha bei ya soko siku hiyo inafanyakazi jitahidi kupeleka mzigo asubuhi na mapema ikiwezekana saa kumi na moja asubuhi ni wakati sahihi.


Naomba msaada wa contact za madalali wa mboga na matunda wa soko la kariakoo
 
Ndugu zangu wanashukuru kwa msaada wenu na ushauri wenu.Naufanyia kazi,huku nliko nalima mboga za majani nataka kuzisafirisha kuzipeleka DAR.
 
Figganiga thank you alot,nimecheki na Robert amesema ana dili na maembe tu but amenipa ushauri mzuri naufanyia kazi.But still naomba mwenye contact za anaedeal na mbogamboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…