msaada wa CUEBASE software

Vakwavwe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2009
Posts
503
Reaction score
100
hello naombeni msaada jamani....nina shida sana na software ya CUEBASE nataka kujifunza productions za mahubiri na nyimbo.
 
hello naombeni msaada jamani....nina shida sana na software ya CUEBASE nataka kujifunza productions za mahubiri na nyimbo.
Unatafauta ya kununua au unataka ya bure. kama bure jaribu kucheki link hii Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site.

kwenye search ingiza neno Steinberg Cubase Tumia link yenye seeders wengi udownload faster.

Lakini usifungwe na solution moja unaweza kutafuta program nyingine zinazofanya kazi hiyo hiyo kama:

Ableton Live
Logic Studio
Sony Acid
Traktor Pro
Propellerhead Reason
 
Kama una mkwanja nitafute kwa kuniPM nikupatie Steinberg Cubase 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…