Msaada wa Data recovery

Msaada wa Data recovery

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu kuna movies kwenye PC zilifutwa permanent na mtu ambaye bado sijambain.

Naomba msaada wa link ya software nzur inayoweza kuzirecover. Ikiwezekana nielekezwe na namna ya kuitumia. Nitashukuru Sana.
 
mi yamenikuta wiki hii, file lilikua na 105GB jamaa kafuta lote permanent, ila hii software inaitwa EASEUS ndo ilinisaidia nka recover walau 87GB.
 
mi yamenikuta wiki hii, file lilikua na 105GB jamaa kafuta lote permanent, ila hii software inaitwa EASEUS ndo ilinisaidia nka recover walau 87GB.
Nisaidie mkuu jinsi ya kuipata hii na namna ya kuweza kuitumia
 
Sometimes kurecover movie bora udownload upya maana utarecover mengine hayaplay au inaplay nusu
 
Back
Top Bottom