Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Wakuu heshima kwenu,hii mada nimeileta jukwaani kwa wataalam zaidi,kuna mtu alikuwa anasema kama mtoto ni mfupi na yupo chini ya miaka miwili kuna vyakula au dawa ukimpa anarefuka haraka,je hii ni kweli?