Wakuu heshima kwenu,hii mada nimeileta jukwaani kwa wataalam zaidi,kuna mtu alikuwa anasema kama mtoto ni mfupi na yupo chini ya miaka miwili kuna vyakula au dawa ukimpa anarefuka haraka,je hii ni kweli?
Uliacha kumuuliza huyo aliyesema unakuja uliza huku au umekuja kutujuza? Labda aina mojawapo ya chakula ni kinyesi cha ng'ombe unampa kijiko kimoja kutwa mara tatu
Mlishe zaidi ya zaidi matunda na mboga mboga za majani..ukiweza soya si mbaya sana usipende kumpa vyakula vya wanga kwa wingi...akifikisha miaka 16 itabaidi huwe unapanda kwenye kiti kwanza kuweza kuzungumza naye