Msaada wa dawa ya Driclor

Msaada wa dawa ya Driclor

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
655
Reaction score
1,069
Jamani mwenye kujua dawa ya Driclor inapopatikana kwa Mbeya na Dar anijuze ni maduka yapi maana nimetafuta hadi nimechoka. Kila nikienda dukani wanasema labda ni jina la kampuni.

Naomba nisaidiwe tafadhali.
 
Back
Top Bottom