Feld Marshal Tantawi JF-Expert Member Joined Dec 24, 2014 Posts 655 Reaction score 1,069 Oct 29, 2016 #1 Jamani mwenye kujua dawa ya Driclor inapopatikana kwa Mbeya na Dar anijuze ni maduka yapi maana nimetafuta hadi nimechoka. Kila nikienda dukani wanasema labda ni jina la kampuni. Naomba nisaidiwe tafadhali.
Jamani mwenye kujua dawa ya Driclor inapopatikana kwa Mbeya na Dar anijuze ni maduka yapi maana nimetafuta hadi nimechoka. Kila nikienda dukani wanasema labda ni jina la kampuni. Naomba nisaidiwe tafadhali.