Msaada wa dawa ya jino

frem zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
595
Reaction score
875
Habari zenu wakuu.

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jamani mwenzenu nina matatizo ya meno kutoboka. Mwaka jana nimeng`oa meno mawili ya Chini , jambo la kusikitisha mwaka huu tena ninaumwa meno mawili tena yaani yananiuma hadi kupelekea masikio kuuma.

Meno haya yanauma wakati wa kula chakula pekee. Hivi sasa hata nikiona chakula naanza kufikiria maumivu ya meno sina raha kabisa. Kama kuna mtu anajua dawa ambayo itanisaidia anieleze , naogopa kuwa kibogoyo kabla sijafikisha hata miaka 30.
 


Pole sana.

Kwetu Mkuranga, huwa tunachemsha majani ya mkorosho na kisha tunasukutuwa kutwa mara tatu kwa siku tatu. Tumia utashangaa.
 
Tafuta papuchi unuse kutwa mara mbili kwa muda wa siku saba alafu ulete mrejesho
 
Mie langu ni kama linaota jaman linauma zile nyama na meno yote ya chini hadi sikio msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…