H happynesskiwia New Member Joined Mar 9, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Oct 20, 2014 #21 SaaMbovu said: Muone Dr. Kifimbo na dawa yake ambayo huwa anaitangaza inaitwa MWANZAGALA kwamba inatibu jino bila kung'oa. Click to expand... Anapatikana wapi kwa dar es salaam
SaaMbovu said: Muone Dr. Kifimbo na dawa yake ambayo huwa anaitangaza inaitwa MWANZAGALA kwamba inatibu jino bila kung'oa. Click to expand... Anapatikana wapi kwa dar es salaam
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,027 Reaction score 5,344 Oct 20, 2014 #22 happynesskiwia said: Anapatikana wapi kwa dar es salaam Click to expand... Alikuwa na ofisi yake Dar es Salaam Magomeni pale Moroco Hotel. Ila kwasasa muda mwingi yupo Dodoma na kule ana ofisi kubwa sana coz hata radio kafungua kule Kifimbo FM. Ingia mtandaoni hasa fb utampata.
happynesskiwia said: Anapatikana wapi kwa dar es salaam Click to expand... Alikuwa na ofisi yake Dar es Salaam Magomeni pale Moroco Hotel. Ila kwasasa muda mwingi yupo Dodoma na kule ana ofisi kubwa sana coz hata radio kafungua kule Kifimbo FM. Ingia mtandaoni hasa fb utampata.
Chokochoko JF-Expert Member Joined Oct 15, 2011 Posts 438 Reaction score 184 Oct 20, 2014 #23 ipo dawa ya meno bila kung'oa nakukupa kinga ya meno yako na hautakaa upate shida hiyo tena swala la kung'oa utasahau, atakaehitaji anipm
ipo dawa ya meno bila kung'oa nakukupa kinga ya meno yako na hautakaa upate shida hiyo tena swala la kung'oa utasahau, atakaehitaji anipm