Msaada wa dawa ya jipu

Msaada wa dawa ya jipu

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
186
Reaction score
148
Naomba msada wa kujuzwa dawa ya jipu bila ya kupasuliwa yani lipotee lenyewe asanteni
 
angalia tuu picha ya mtukufu nakuhakikishia litapotea mara moja.
 
Mkuu we litumbue tu linaweza kukuletea madhara mengine si unajua sikuhizi magonjwa kibao
 
Nashukuru mkuu ila limekaa pabaya na mume wangu ameshindwa,nisaidie njia mbadala zaidi ya kutumbua
 
me si mtaalam lkn nakushauri uende hospital ama wapo humu wa kukushauri njia mbadala wasubiri
 
Ni vema ukalitumbua mkuu, linaweza kukusababishia matatizo makubwa, by the way mumeo anashindwaje kukusaidia? sababu ni kuota sehemu mbaya? pole sana
 
Nashukuru mkuu ila limekaa pabaya na mume wangu ameshindwa,nisaidie njia mbadala zaidi ya kutumbua
Mtafute mme mwingine akusaidie kulitumbua kama ni lazima utumbuliwe na mwanamme. Tofauti na kulitumbua laweza tokea sehemu mbaya zaidi hata kwenye utumbo.
 
Nunua dawaya meno whitedent nyeupe paka kwenye jipu asubuhi na usiku unapolala. Iache igande,ufanisi ni 200% tafadhali nitaomba mrejesho.
 
Nashukuru mkuu ila limekaa pabaya na mume wangu ameshindwa,nisaidie njia mbadala zaidi ya kutumbua
pole sana mkuu!
FANYA HIVI; Tafuta vitunguu saumu,toa punje tatu,twanga/ponda hadi zibaki majimaji,pakaa ktk jipu na pembeni yake.

Acha ikaukie hapo kwa dk10 hivi,toa fanya hivi mara mbili kwa siku hadi upone
 
Nashukuruu mkuu kwa ushauri wako ngoja niufanyie kazi ntakupa mrejesho
 
Back
Top Bottom