Wadau naombeni kwa anayejua Dawa ya kutibu kuku huu ugonjwa wa kideri,nimekula kuku mpaka nimebloo,kuku wanapukutika kila dakika.nimetumia za madukani nahisi nazo ni wamezichakachua kwani hakuna hanayepata nafuu. banda lote wanaugua yani hapa friji imejaa na wanazidi kufa. Msaada tafadhali.