Msaada wa dawa ya kikohozi.

Msaada wa dawa ya kikohozi.

sweetlee

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
4,050
Reaction score
14,770
Wakuu koo linawasha halafu nakohoa nimetumia antibiotics leo siku 4 sioni nafuu
naombeni ushauri wenu
 
Saga tangawizi+ kitunguu saumu, kamulia limao weka na maji robo kikombe, chemsha then chuja nusu kunywa asubuhi nyingine jioni

Ova
 
Back
Top Bottom