Fanya hvo dawa nzurAsante sana
Saga tangawizi+ kitunguu saumu, kamulia limao weka na maji robo kikombe, chemsha then chuja nusu kunywa asubuhi nyingine jioni
Ova
Usisahau na asali bibieWakuu koo linawasha halafu nakohoa. Nimetumia antibiotics leo siku 4 sioni nafuu. Naombeni ushauri wenu