Msaada wa dawa ya kipele hiki

Msaada wa dawa ya kipele hiki

maya44

Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
10
Reaction score
6
Samahani kwa usumbufu napata kipele ukeni mwanzo kilianza Kama jipu nikawanalitumbua linatoka usaha lakn saiv umekuwa hivi je hii ni shida gani
IMG_20230708_195133.jpg
 
Mi nahisi ni kawaida , hutokea ukinyoa huko

Nyie mnaokazania anyoe mavuzi badala ya ushauri mnashangaza!!! et mchafu kwahiyo pawe na kipara?? Fuga vuzi asikutishe mtu yanakazi yake hayo ..
wanataka kila siku uwe unaparura mavuzi ndo mana vinatoka vijipu
 
Na wengine tunayapenda.
 
Back
Top Bottom