Msaada wa dawa ya kupunguza usingizi

An addiction is always cured by another addiction, hakuna dawa nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulala au usingizi unasababishwa na aina fulani ya vichocheo katika mwili wako.

Muda halisi wa kulala unatokea baada ya mwili kuzoeshwa au kufundishwa kwamba ukifika mida fulani unatakiwa ulale kwa kusababishwa na vichocheo/hormones.

Ndio maana unaposafiri au kubadilisha jiografia yenye tofauti kubwa ya masaa au muda huleta athari katika mpangilio wa usingizi

Kwa kifupi ujifunze kuzingatia muda wa kulala kwa kujizoesha ingawa itachukua muda mrefu ila utaweza kumudu.

Ila pia kama haina athari katika maisha yako na ya wengine uchape usingizi mwanangu na ufurahie maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui mpaka leo mumeo ni mzee, mama watoto najua unasubiri kuchukua urithi tu ukale bata na vijana age yako Mungu anakuona

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakuona kijana ndiyo maana bado naringishiaga mashosti.
Hapana urithi ni kwa ajili ya kulelea watoto wetu, si unajua umepata mtoto wa kwanza ukiwa 45[emoji23][emoji23][emoji23]unadhani ukiondoka Mimi nitawaleaje?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Njoo maskani tule bangi, uone kama usingizi utakuja mapema

"ᵀʳʸ ⁿᵒᵗ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ᵇᵘᵗ ʳᵃᵗʰᵉʳ ᵗʳʸ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ᵛᵃˡᵘᵉ✓"
 
Unaweza tumia energy drink yoyote huo mda ambao unasnzia kwakua ina kiwango cha caffein, hii itakusaidia kupunguza usingiz na kusogeza mda wa kulala hatimae utazoea huo mda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kijana mzee bado tunadai, tutafute mtoto wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…