Msaada wa dawa ya kutibu minyoo

mduirwa

Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
35
Reaction score
11
Mwenye uelewa na dawa ya minyoo, ile ambayo inatoka yenyewe.
 
Tumia Dawa Ya Secnidazole.Ni Nzuri Sana.Dozi Ni Mara Moja Tu.Na Ni Bei Nafuhu.Na Ni Rahisi Kupatikana.Mimi Imenisaidia Sana.
 
Ivi iyo albendazol inamezwa kwa muda gani. Baada ya dozi kumaliza apo
 
Minyoo inatoka yenyewe ??!! sielewi hapo. Inatokaje yenyewe, kutoka wapi?

Hivi kumbe minyoo ni inshu kubwa eeh

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…