Msaada wa dawa ya kuua mzige wanaokula mazao

Nyabiri

Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
58
Reaction score
38
Wadudu hawa wameniharibia ekari mbili za zao la mbazi tafadhali anaejua sumu ya wadudu hao anisaidie
 

Attachments

  • IMG_20241219_183509_727.jpg
    261.7 KB · Views: 4
Mkuu hawa wadudu huku tunawaita tondogoso ni balaa. Hizi sumu za kawaida tu sidhani kama wapo wengi kazi unayo sumu yao kubwa ni mvua kubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…