Njugu mawe
Member
- Sep 8, 2023
- 33
- 33
Shimo la choo likijaa naonaga kuna dawa zinatangazwa zinazozibua choo kikiziba, nazihitaji wakuu, napataje
Mfano hapo chini.
Mfano hapo chini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa, lakini hii ni sink limeziba, je napo itasaidia?Chukua Bicarbonate of soda mwagia chooni Chalo kilichojaa halafu funika hicho choo. Kesho utaukuta hakuna mizigo
Hii ni fix kabisa 😃😃😃Mwaga Mavi ya Mzee wa Miaka 90+ ni Dawa nzuri sana ya kuzibua vyoo vilivyoziba, Mavi ya kale hayanuki, kisipozibuka mwambie anye tena kitazibuka tu, walisema mtu mzima Dawa kwa hio Dawa Choo lazima kiombe poo KESHO tu utakikuta kipo safi km kipya
Mkuu unaweza kuweka picha zake?Ujenz wa hovyo husababisha adha ndogo ndogo kama hiz.
Toka kwenye retainer ya maji inayofungwa kwa nje kupokea uchafu na kuupeleka kwenye chamber ndogo ya kwanza, ilipaswa kufungwa c-shaped connector ambayo ina mfuniko wa kufunguka.
Kwa kesi kama hii ungefungua tu mfuniko na kutikisa kidogo tu, usingehitaji hata kuita fundi.
Vinapatikana na bei za kawaida tu hiz hata 10k haifikiMkuu unaweza kuweka picha zake?
Vinapatikana hardware?unaviuliziaje na bei
Mzee wa Miaka 90+ mtafute utanishukuruHii ni fix kabisa 😃😃😃