Njugu mawe
Member
- Sep 8, 2023
- 33
- 33
Sawa sawa, lakini hii ni sink limeziba, je napo itasaidia?Chukua Bicarbonate of soda mwagia chooni Chalo kilichojaa halafu funika hicho choo. Kesho utaukuta hakuna mizigo
Hii ni fix kabisa πππMwaga Mavi ya Mzee wa Miaka 90+ ni Dawa nzuri sana ya kuzibua vyoo vilivyoziba, Mavi ya kale hayanuki, kisipozibuka mwambie anye tena kitazibuka tu, walisema mtu mzima Dawa kwa hio Dawa Choo lazima kiombe poo KESHO tu utakikuta kipo safi km kipya
Mkuu unaweza kuweka picha zake?Ujenz wa hovyo husababisha adha ndogo ndogo kama hiz.
Toka kwenye retainer ya maji inayofungwa kwa nje kupokea uchafu na kuupeleka kwenye chamber ndogo ya kwanza, ilipaswa kufungwa c-shaped connector ambayo ina mfuniko wa kufunguka.
Kwa kesi kama hii ungefungua tu mfuniko na kutikisa kidogo tu, usingehitaji hata kuita fundi.
Vinapatikana na bei za kawaida tu hiz hata 10k haifikiMkuu unaweza kuweka picha zake?
Vinapatikana hardware?unaviuliziaje na bei
Mzee wa Miaka 90+ mtafute utanishukuruHii ni fix kabisa πππ