Msaada wa dawa ya tatizo hili!

Msaada wa dawa ya tatizo hili!

Kukamido

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
853
Reaction score
204
Niliwahi kusoma mada mojawapo kuhusu dawa zinaweza kutibu warts za mwilini.
Kuna wachangiaji wakaorodhesha sawa mbali mbali kama vile,
Podosal point
Silver nitrate
Wart removing paint na nyinginezo,
Je hizi dawa ni kwa wart zote mwilini vipi kuhusu GENITAL WARTS msaada kwa anae elewa dawa zake tafadhali!
 
Back
Top Bottom