Msaada wa dawa

kuna elimu hapo kwenye hizo sticky jins ya kujieleza kwa daktar.ungesema wewe ni jinsia gani range ya umri, tatizo limeanza lini hapo angalao ungetoa mwanga wa kupat msaada ndugu.sababu maumivu ya kiuno yanatofautiana na tumbo vilevile.je wewe ni mjamzito?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…