msaada wa desa la memorundum

Halafu thanks kwa msaada wa hiyo link.
Nadhani weka pia kwenye jukwaa la sheria unaweza kupata msaada mzuri. Otherwise ukienda kwa wakili atakuwa na copy .kwa kiasi kidogo cha fedha utachapiwa inasuit need zako.

Lakini hata za hapo bongo haziwezi kuwa tofauti sana na hizo unazoona kwenye net. zinahitaji editing ndogo tu .
 
.
Thanks a million mkuu. mawazo yako nimeyapenda sana. Nimesha anza kwa utumia internet material, lakini nilifikiri nikipata sample kamili ya bongo naweza nikapata mawazo mengine mazuri. Nafikiri wazo lako la kuwa ona hawa jamaa (mawakili) ni bora sana.
 
Duh! Mkuu wewe ni super engineer kweli? Nina mashaka na u-engineer wako. Natumaini umepata msaada tayari.
Thank yu comrade,Ila kKwa nini una mashaka ??? There's No End to Learning!!!
 
Kweli we engineer!!!, Mie naomba nafazi ya kazi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…