Msaada wa dharura (swali)

Msaada wa dharura (swali)

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
4,486
Reaction score
8,098
Gari aina ya Raum inazingua kwenye mfumo wa AC, nikiwasha AC ni kama temperature ya injini inakuwa iko juu kiasi cha gari kuzima.

Fundi anasema shida iko kwenye thermostat anataka aitoe. Naombeni msaada kwa wataalamu wa haya mambo. Thanks in advance.

Mungu ibariki JF
 
Toa tu hiyo thermostat, Hautapata shida yoyote
 
Gari aina ya Raum inazingua kwenye mfumo wa AC, nikiwasha AC ni kama temperature ya injini inakuwa iko juu kiasi cha gari kuzima.

Fundi anasema shida iko kwenye thermostat anataka aitoe. Naombeni msaada kwa wataalamu wa haya mambo. Thanks in advance.

Mungu ibariki JF
Kabla ya kukushauri kwanza nikuulize swali,huyo fundi wako aliyesema shida ipo kwenye thermostat alipima/alitest na kuona hiyo italafu kwenye hiyo thermostat au amekisia tu?
Kama alipima na kuliona tatizo endelea naye ila kama amekisia tu ni bora uende kwenye gereji wanazotumia computer kufanya diagnosis ili waone sehemu husika yenye hitilafu maana engine kupata moto husababishwa na vitu vingi kama njia za kupitisha coolant kuziba,Fan kuwa na hitilafu,compressor kuwa na hitilafu,thermostat kuwa na hitilafu,radiator kuwa na hitilafu.
Kama amekisia tu jiandae kununulishwa spea za aina mbalimbali ikitokea hiyo idea ya kubadilisha thermostat isipofanya kazi.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hajapima kitaalamu,(wala hana vifaa hivyo vya kupimia).- katumia uzoefu tu. Kwa maelezo yake anadai amecheki kwingine anaona pako vizuri ila shida iko kwenye hiyo thermostat, na sio kwamba anaibadilisha bali anaitoa kabisa isiwepo maana anadai hizi thermostat hazina umuhimu kwenye gari maeneo ya joto , ndio maana zinaleta shida ya kuongeza joto kwenye injini.
 
Ukiona fundi anakuambia habari ya kuondoa thermostat ujue hapo ni ubabaishaji mwingi kwanini miaka yote gari inatumia na hakuna tatizo iweje akimbilie kutoa thermostat?
Hicho kifaa kina kazi kubwa Sana kwenye upande wa kurekebisha joto la engine... nakushauri jaribu kutafuta mafundi wengine Kwanza kabla ya kuondoa thermostat
 
Mkuu, asante kwa ushauri, ila huyu jamaa (fundi) kwa hili eneo nililoko ndiye "mtaalam anayekubalika"
 
Mkuu, asante kwa ushauri, ila huyu jamaa (fundi) kwa hili eneo nililoko ndio "mtaalam anyekubalika"
Pole bro kwa changamoto hiyo
Vipi umepata ufumbuzi,?
Kama bado!

Jitahidi sana kutafuta fundi mwenye mashine za kupimia, uzoefu kwenye vyombo vya moto bila kipimo haijakaa sawa.

Ninavyojua mimi asilimia kubwa ya mafundi wa Tz wanakimbilia kutoa themostart lakini si kweli kua hiyo ndio kitu pekee husababisha tatizo la ku over heat gari.

Mimi sio fundi lakini,!!!

Acha jitu miraba minne na wenzie waje kutupa muongozo zaidi

Ninacho jua sio ushuri mzuri. Katika kutoa themostart ya gari maana hata watengenezaji wa hayo magari wanajua kua watauza pia kwenye nchi za kwenye joto.
 
Hajapima kitaalamu,(wala hana vifaa hivyo vya kupimia).- katumia uzoefu tu. Kwa maelezo yake anadai amecheki kwingine anaona pako vizuri ila shida iko kwenye hiyo thermostat, na sio kwamba anaibadilisha bali anaitoa kabisa isiwepo maana anadai hizi thermostat hazina umuhimu kwenye gari maeneo ya joto , ndio maana zinaleta shida ya kuongeza joto kwenye injini.
Kwa maelezo haya huyo fundi wako ni kanjanja.
Walioweka thermostat sio wajinga kwamba yeye ndio ajione anajua sana kuwazidi waJapan waliounda magari na kuweka thermostat.
Kwa mawazo haya ya fundi wako atakuongezea matatizo mengine.
Kila kifaa kina umuhimu kwenye gari,ni sawa sawa na mwili wa binadamu ukikata kidole kimoja mkono wako hautafanya kazi kama inavyotakiwa.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Gari aina ya Raum inazingua kwenye mfumo wa AC, nikiwasha AC ni kama temperature ya injini inakuwa iko juu kiasi cha gari kuzima.

Fundi anasema shida iko kwenye thermostat anataka aitoe. Naombeni msaada kwa wataalamu wa haya mambo. Thanks in advance.

Mungu ibariki JF
Usipige ramli, ipeleke kwenye diagnosis machine
 
Back
Top Bottom