Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Nami nawasubiri wabobezi wa hizi mambo.Ngoja waje
Asante mkuu, ila naona mchana huu wengi wako bize kutafuta mkate wa kila siku, na ishu za karo. Maana si kwa ukimya huu.Pole sana mkuu ila najua hakuna kinachoshikana humu wako njiani watakushauli
Toa tu hiyo thermostat, Hautapata shida yoyoteGari aina ya Raum inazingua kwenye mfumo wa AC, nikiwasha AC ni kama temperature ya injini inakuwa iko juu kiasi cha gari kuzima.
Fundi anasema shida iko kwenye thermostat anataka aitoe. Naombeni msaada kwa wataalamu wa haya mambo. Thanks in advance.
Mungu ibariki JF
Ee kwa mda huu sio rahisi labda baadaeAsante mkuu, ila naona mchana huu wengi wako bize kutafuta mkate wa kila siku, na ishu za karo. Maana si kwa ukimya huu.
Kabla ya kukushauri kwanza nikuulize swali,huyo fundi wako aliyesema shida ipo kwenye thermostat alipima/alitest na kuona hiyo italafu kwenye hiyo thermostat au amekisia tu?Gari aina ya Raum inazingua kwenye mfumo wa AC, nikiwasha AC ni kama temperature ya injini inakuwa iko juu kiasi cha gari kuzima.
Fundi anasema shida iko kwenye thermostat anataka aitoe. Naombeni msaada kwa wataalamu wa haya mambo. Thanks in advance.
Mungu ibariki JF
Hajapima kitaalamu,(wala hana vifaa hivyo vya kupimia).- katumia uzoefu tu. Kwa maelezo yake anadai amecheki kwingine anaona pako vizuri ila shida iko kwenye hiyo thermostat, na sio kwamba anaibadilisha bali anaitoa kabisa isiwepo maana anadai hizi thermostat hazina umuhimu kwenye gari maeneo ya joto , ndio maana zinaleta shida ya kuongeza joto kwenye injini.Kabla ya kukushauri kwanza nikuulize swali,huyo fundi wako aliyesema shida ipo kwenye thermostat alipima/alitest na kuona hiyo italafu kwenye hiyo thermostat au amekisia tu?
Kama alipima na kuliona tatizo endelea naye ila kama amekisia tu ni bora uende kwenye gereji wanazotumia computer kufanya diagnosis ili waone sehemu husika yenye hitilafu maana engine kupata moto husababishwa na vitu vingi kama njia za kupitisha coolant kuziba,Fan kuwa na hitilafu,compressor kuwa na hitilafu,thermostat kuwa na hitilafu,radiator kuwa na hitilafu.
Kama amekisia tu jiandae kununulishwa spea za aina mbalimbali ikitokea hiyo idea ya kubadilisha thermostat isipofanya kazi.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
fafanua boss wangushida ya mafundi wa kibongo , wanapenda bypass
Ukiona fundi anakuambia habari ya kuondoa thermostat ujue hapo ni ubabaishaji mwingi kwanini miaka yote gari inatumia na hakuna tatizo iweje akimbilie kutoa thermostat?Hajapima kitaalamu,(wala hana vifaa hivyo vya kupimia).- katumia uzoefu tu. Kwa maelezo yake anadai amecheki kwingine anaona pako vizuri ila shida iko kwenye hiyo thermostat, na sio kwamba anaibadilisha bali anaitoa kabisa isiwepo maana anadai hizi thermostat hazina umuhimu kwenye gari maeneo ya joto , ndio maana zinaleta shida ya kuongeza joto kwenye injini.
Mkuu, asante kwa ushauri, ila huyu jamaa (fundi) kwa hili eneo nililoko ndiye "mtaalam anayekubalika"Ukiona fundi anakuambia habari ya kuondoa thermostat ujue hapo ni ubabaishaji mwingi kwanini miaka yote gari inatumia na hakuna tatizo iweje akimbilie kutoa thermostat?
Hicho kifaa kina kazi kubwa Sana kwenye upande wa kurekebisha joto la engine... nakushauri jaribu kutafuta mafundi wengine Kwanza kabla ya kuondoa thermostat
Pole bro kwa changamoto hiyoMkuu, asante kwa ushauri, ila huyu jamaa (fundi) kwa hili eneo nililoko ndio "mtaalam anyekubalika"
Kwa maelezo haya huyo fundi wako ni kanjanja.Hajapima kitaalamu,(wala hana vifaa hivyo vya kupimia).- katumia uzoefu tu. Kwa maelezo yake anadai amecheki kwingine anaona pako vizuri ila shida iko kwenye hiyo thermostat, na sio kwamba anaibadilisha bali anaitoa kabisa isiwepo maana anadai hizi thermostat hazina umuhimu kwenye gari maeneo ya joto , ndio maana zinaleta shida ya kuongeza joto kwenye injini.
Bypass maana yake ni kutumia njia za mkato katika kutatua tatizo ambazo haziruhusiwi/hazishauriwi kitaalamu kuzitumia njia hizo.fafanua boss wangu
Usipige ramli, ipeleke kwenye diagnosis machineGari aina ya Raum inazingua kwenye mfumo wa AC, nikiwasha AC ni kama temperature ya injini inakuwa iko juu kiasi cha gari kuzima.
Fundi anasema shida iko kwenye thermostat anataka aitoe. Naombeni msaada kwa wataalamu wa haya mambo. Thanks in advance.
Mungu ibariki JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ufundi wake ndio umeishia hapoNilijua lazma aishie kwenye kung'oa hicho kifaa tu.