Haiwezekani hata siku moja kwa Umri huo 30,height ya 6.3 ft, kuwa na kilo 70 na KAMA NI KWELI BASI HUYO NI MGONJWA MWAMBIE HAONGEZE UZITO afya yake ipo matatani kwani FOMULA INASEMA Uzito gawa kwa kwa Height in Meters Square isizidi 27 na isipunguwe 23 sasa wako huyo ni 70Kg / 4 M ( 6.3 ft = 2 M) = 17.5 Amabayo kwa scale za wazungu huyo jmaa na ana KWASHAKOO!!
Sorry wandugu, nimekosea kweli vipimo, ilibidi nimpime na nimetumia vipimo vya centimeters... ana 137cm na uzito ni huo wa 70
POINT OF CORRECTION MKUU,
BmI ISIPUNGUE 18.5 na isizidi 24.5. beyond hii then ndo wanasema kuwa ni overweight,then obesity type one,two,three.