Official Bindira
Member
- Jun 2, 2017
- 33
- 16
Wewe funguka tatizo lako madokta wapo wengi humu watakupa ufumbuzi wa shida yako.Habari zenu wana jamii forums
naombeni msaada wa hospitali nzuri inayotibu au hata ushauri musuala ya uzazi wa kina mama au doctor
nipo serious katika hili
ASANTENI SANA WANA JAMII FORUMS
ndo wajitokeze sasa wewe unataka nifunguke nini sasaWewe funguka tatizo lako madokta wapo wengi humu watakupa ufumbuzi wa shida yako.
ipo maeneo gani hiyo nduguKaribu Regency Hosp. Dar. Utakutana na madrs bingwa wa tatizo lako
vipi wana unafuu katika huduma zaoIPO karibu na chuo cha DIT dar.
Kama hauna bima ya afya gharama zao ni very expensive.vipi wana unafuu katika huduma zao
duuh naona hapo sipawezi mkuu nitajie sehemu nyingine nduguKama hauna bima ya afya gharama zao ni very expensive.
mke wangu hajashika ujauzito tangu nimuoe 2015Sem tatiz upew dawa
Ungeelezea vizuri ili wajue jinsi ya kukuelekeza, hujawahi kupata mtoto au hujawahi kupata mimba???nina mwaka wa 3 katika ndoa sijabahatika kupata mtoto
mimi nishawahi kuwapa mimba wasichana kama 3 hivi mara ya kwanza 2010 mwingine mwaka 2016 wa mwisho mwaka huu mwezi wa 4....hao wote niliowataja walikuwa ni mchepuko tu...mke wangu ana mtoto mmoja kamzaa mwaka 2011 kwa jamaa mwingine kabla hatukakutana nimekutana nae mwaka 2013 tangu nimuoe mwaka 2015 mwezi wa 6 mpaka sasa hatujabahatika kupata mtotoUngeelezea vizuri ili wajue jinsi ya kukuelekeza, hujawahi kupata mtoto au hujawahi kupata mimba???
Kabla ya ndoa, ulishawahi kupata mimba???
shida mtoto kaka kutoka kwa mke wangu..mke wangu amekuwa hana amani hata kidogoShida yako nn nipo tayl nikupe ushaur
Ni pm tuuulizane maswal kidogshida mtoto kaka kutoka kwa mke wangu..mke wangu amekuwa hana amani hata kidogo