Msaada wa Doctor wa ngozi

Msaada wa Doctor wa ngozi

esiankiki

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
486
Reaction score
659
Habari wakuu, nina ndugu tangu ana shida eczema(pumu ya ngozi) naomba kujua wapi tutapata speciliast mzuri na bei maana hatuna bima.
napatikana Dar
 
weka vizuri bandiko lako nikusaidie,ana umri gani na yupo wapi
 
Back
Top Bottom