esiankiki JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 486 Reaction score 659 Sep 24, 2019 #1 Habari wakuu, nina ndugu tangu ana shida eczema(pumu ya ngozi) naomba kujua wapi tutapata speciliast mzuri na bei maana hatuna bima. napatikana Dar
Habari wakuu, nina ndugu tangu ana shida eczema(pumu ya ngozi) naomba kujua wapi tutapata speciliast mzuri na bei maana hatuna bima. napatikana Dar
M mabwiku JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 447 Reaction score 390 Sep 27, 2019 #2 weka vizuri bandiko lako nikusaidie,ana umri gani na yupo wapi