Msaada wa downloader

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wadau naombeni msaada wa hii kitu "downloader".
Mimi nina winrar hivyo nikidownload vitu navikuta huko kisha extract kwa matumizi,tatizo ni uslow na sometimes hata ikifika 95% ikikata unaanza moja.
lakini nimekuwa nasikia sana downloader zinafanya kazi kwa uharaka zaidi, baada ya kugoogle nimeshindwa kutofautisha IDM, uttorent, bittorent nk.
Hebu nijuzeni kama nataka kwa shughuli ya kudownload music, software, game ipi intanifaa, nikipata na link yake niweze kuipakuwa itakuwa powa zaidi.
U're help will be highly appreciated.
 
Kuna downloader za aina tofauti e.g:-

Youtube Downloader - ambayo inadownload video za youtube,

BearShare
- ambayo mainly deals with music but in your case ningekushauri utumie Orbit Downloader ambayo inadownload kitu chochote as long as you have the link au umesha request download. It's fast,easy-to-use and FREE.

Another way out kwa softwares, music and games ambazo zina capacity kubwa tumia Bittorrent kwa sababu ina uwezo wa kudownload any type of data at any speed depending on your connection type. Ukitaka Bittorrent iwe ya manufaa kwako, ukiifungua juu kulia utaona sehemu imeandikwa <search here>. Hapo type chochote unachotaka(music,games,softwares,etc) halafu yenyewe itasearch internet yote na kukuletea uchague unachotaka then ianza kudownload. I Hope I have been of help.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…