Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Duuuh,nimeshameza viwiliKimoja asubuhi kimoja jioni
Kwanini mkuu..?Ciplo 500gm ya Germany ndo ipo poa
Kwanini mkuu..?
Kwa kuwa hii ya India ciplo 500gm nilitumia ilinisumbua sana kupona mpaka nilipo badilisha dose
Duuuh,nimeshameza viwili
Ok poa ila badili hapo kwenye 500gm weka 500mg maana mtu mwingine anaweza akazitafuta hizo 500gm akazibugia ikawa balaa..Kwa kuwa hii ya India ciplo 500gm nilitumia ilinisumbua sana kupona mpaka nilipo badilisha dose