Msaada wa duka la vifaa hivi vya magari-Dar

Msaada wa duka la vifaa hivi vya magari-Dar

roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
634
Reaction score
410
Asalam. Wadau Mie ninashida ya kubadilisha vifaa kama vile bush, shock up Na vinginevyo ikiwemo pia Ndani vikiwemo urembo na seat cover bila kusahau manukato fresh.

Mahitaji yangu sitaki kwenda gereji Na kuwaachia mafundi nataka kwenda mwenyewe dukani Na kuzoa mwenyewe Na kuwaletea wataalam wafunge tu. Msaada wa duka ninaloweza kupata vifaa hivyo tajwa kwa bei ya kawaida/ nafuu . Natanguliza shukran
 
mtaa wa msimbazi, mbele ya kituo cha mwendokasi kuna maduka makubwa sana ya spare parts kama; Kisangani, salama bearings, master cards n.k
Ni kweli kabisa ila duka kama salama bearing huwezi pata vifaa bila kuwa mnunuzi mkubwa mwenye akaunti pale...u need to buy in bulk hata kisangani ukifika utaulizwa unahitaji ngapi...ukisema moja unapewa bei ya moja

Nakushauri nicheck 0692 950 167
 
Asalam. Wadau Mie ninashida ya kubadilisha vifaa kama vile bush, shock up Na vinginevyo ikiwemo pia Ndani vikiwemo urembo na seat cover bila kusahau manukato fresh. Mahitaji yangu sitaki kwenda gereji Na kuwaachia mafundi nataka kwenda mwenyewe dukani Na kuzoa mwenyewe Na kuwaletea wataalam wafunge tu. Msaada wa duka ninaloweza kupata vifaa hivyo tajwa kwa bei ya kawaida/ nafuu . Natanguliza shukran
nenda ilala karibu na machinga complex kama hupo super market vile unafanya kuchagua maduka
 
mtaa wa msimbazi, mbele ya kituo cha mwendokasi kuna maduka makubwa sana ya spare parts kama; Kisangani, salama bearings, master cards n.k
Mastercards asijichanganye kwenda pale,wana overprice sana spears
 
Back
Top Bottom