Ni kweli kabisa ila duka kama salama bearing huwezi pata vifaa bila kuwa mnunuzi mkubwa mwenye akaunti pale...u need to buy in bulk hata kisangani ukifika utaulizwa unahitaji ngapi...ukisema moja unapewa bei ya mojamtaa wa msimbazi, mbele ya kituo cha mwendokasi kuna maduka makubwa sana ya spare parts kama; Kisangani, salama bearings, master cards n.k
nenda ilala karibu na machinga complex kama hupo super market vile unafanya kuchagua madukaAsalam. Wadau Mie ninashida ya kubadilisha vifaa kama vile bush, shock up Na vinginevyo ikiwemo pia Ndani vikiwemo urembo na seat cover bila kusahau manukato fresh. Mahitaji yangu sitaki kwenda gereji Na kuwaachia mafundi nataka kwenda mwenyewe dukani Na kuzoa mwenyewe Na kuwaletea wataalam wafunge tu. Msaada wa duka ninaloweza kupata vifaa hivyo tajwa kwa bei ya kawaida/ nafuu . Natanguliza shukran
Mastercards asijichanganye kwenda pale,wana overprice sana spearsmtaa wa msimbazi, mbele ya kituo cha mwendokasi kuna maduka makubwa sana ya spare parts kama; Kisangani, salama bearings, master cards n.k