msaada wa e mail adres pls

msaada wa e mail adres pls

Shauri

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
804
Reaction score
453
wana jf nawasalim wote
kuna rafiki yangu ana tatizo la email ambayo alitaka kupost cv yake lakini amegonga mwamba kwani kila akituma hazifiki kunakotakiwa ,na lengo lake kutuma maombi ya kazi ktk kampn hiyo ya BARRICK TZ LTD
email alizotumia ni hizi hapa
(1)recruitment@barrick.com na
(2)recuitment@barrick.com
mwenye data zaidi ya hizi email mbili pls anijuze kwani dedline ni tarehe 30 april.
tangazo alilipata katika gazeti la mwananchi la tr 19april
 
Mkuu why dont you make online application through Barrick Careers websites

Log in through this link and fill your particulars for relevant job your looking for (read careful on relevancy because there are worldwide jobs advertised by Barrick Co).
https://barrick.taleo.net/careersection/2/jobsearch.ftl?lang=en
 
email ziko sawa mzee,i have tsted them for you,.....may be email yako inashida au mtandao tu au umeeatach file kubwa mno
 
Back
Top Bottom