wana jf nawasalim wote
kuna rafiki yangu ana tatizo la email ambayo alitaka kupost cv yake lakini amegonga mwamba kwani kila akituma hazifiki kunakotakiwa ,na lengo lake kutuma maombi ya kazi ktk kampn hiyo ya BARRICK TZ LTD
email alizotumia ni hizi hapa
(1)recruitment@barrick.com na
(2)recuitment@barrick.com
mwenye data zaidi ya hizi email mbili pls anijuze kwani dedline ni tarehe 30 april.
tangazo alilipata katika gazeti la mwananchi la tr 19april