habari wana jf naomba kupata elimu juu ya namna ya kufanya vat ruturn online endapo kampuni inafanya mauzo, na endapo kampuni haifany i mauzo yeyote yaani haizalishi.
elimu hii itawafaa na wengine ambao walikuwa na shida kama yangu,
thanks in advance