wakozuka Member Joined Mar 24, 2011 Posts 30 Reaction score 7 Feb 28, 2014 #1 jamani mm nina diploma ya computer engineering and networking, kwasasa nataka kusoma hizi professional studies za nje ya nchi. hasa kwenye masuala ya security, nahitaji msaada wenu jamani kwa ushauri
jamani mm nina diploma ya computer engineering and networking, kwasasa nataka kusoma hizi professional studies za nje ya nchi. hasa kwenye masuala ya security, nahitaji msaada wenu jamani kwa ushauri