Habari wanajamii forum,
Kwa mda mrefu nimekua nikitafakari juu ya fursa ambazo zinapatikana.
Binafsi nimeiona fursa ya kuanzisha Mashine ya kukoboa na kusaga mahindi ni fursa kwangu maana naamini ninapotarajia kuianzisha ntapata Wateja.
Naombeni wadau mwenye uelewa nazo anipe mchanganuo wake ,bila kusahau changamoto zake
Natanguliza shukrani.
"JF a place where we dare to talk"