wadau poleni na ujenzi wa taif. Jamani kuna mtoto wa jirani yangu,maeneo ninapoishi wamegoma kumpeleka shule baba hataki asome ukimuuliza sababu nn hasemi, mtoto ana miaka km kumi au 11 ni wa kike, yeye mtoto nilimhoji anapenda na kutamani sn kwenda shule, ss jamani tumsaidieje uyu mtoto?.