BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,122 Reaction score 4,060 Sep 1, 2010 #1 Shalom Waungwana. Tafadhali sana naomba kwa yeyote mwenye email za watu hawa anisaidie: James Mbatia - Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe. Mustafa Sabodo - Mfanyabiashara. Mohamed Dewji - Mbunge wa Singida mjini. Natanguliza shukurani nyingi kwa msaada.
Shalom Waungwana. Tafadhali sana naomba kwa yeyote mwenye email za watu hawa anisaidie: James Mbatia - Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe. Mustafa Sabodo - Mfanyabiashara. Mohamed Dewji - Mbunge wa Singida mjini. Natanguliza shukurani nyingi kwa msaada.
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,122 Reaction score 4,060 Sep 4, 2010 Thread starter #2 JF! Hakuna mwenye email adress za hawa ndugu tafadhali??
T TITOP002 Member Joined Aug 15, 2009 Posts 29 Reaction score 1 Sep 5, 2010 #3 kwa Mohammed dewji. Tembelea Blog yake.