Wadau mie nahitaji msaada , nnaka Verossa kangu nataka nipige chini Engine na Gear Box.
Je ni wapi ntapata vitu hivo Kwa uhakika wa Bei nafuu (reasonable price) , spea za uhakika (Genuine spares), hakuna madalali (No middlemens), Na duka lenye kutoa risiti (receipts).
1 . Engine ya Beam 2000-Vvti
2. Gear Box ya umeme (1G)
Naomba mchango wenu wa mawazo ushauri na uzoefu katika ununuzi.
Asante.